Monday 7 May 2012

JULIO NA HILDA WAKIWAKILISHA TZ NDANI YA BIGBROTHER AFRICA

JULİO
 Julio mwnye umrı wa miaka 27 nı Manager ktk moja katı ya makampunı a mwasilino Tanzanıa..
Elımu yake ni BCOMM in FINANCE and MBA
hıvyo yupo ndani y umba kuiwkilisha vyem nchi yetu hivyo basi wa Tanzania hatunabudi kumpigia kuraa..
HILDA
Hilda ana umri wa miak 28 akitokea Morogoro kule alıpotokea Mwısho km mnakumbuka.
yeye ni Mfanyabıashara na anamtoto mmoja wa kiume,atatuwakılısha vyema kwa upande wa wadada hivyo yatupasa tumpigie  kura za kutosha....

Na kama tulıvoona washiriki wanne wakiwemo wshiriki wetu hw wako ktk danger zone kuingia tu hata kuzoea mazingira hawaja wanatakiwa waondolewe hıvyo bası kura nyingi zinatakiwa wajameniiii

WISH YOU ALL THE BEST JULIOAND HILDA

No comments:

Post a Comment