Wednesday 30 May 2012

WEMA AVISHWA PETE NA MWINYI WA MACHOZI BAND NDANI YA MAISHA CLUB



Mwanadada Superstaa wa Bongo Movie Wema Sepetu akiwa anaendelea na shooting yake ya Movie itakayokuwa na jina la SUPERSTAR ikielezea maisha yake ya usupastaa jana ndani ya maisha club alivishwa pete ya uchumba na mwimbaji wa Machozi Band kuonyesha upendo kwa mpenzi wake huyo na kumuahidi kuwa wake daima.

AKIPIGA GOTI KUONYESHA ISHARA YA UPENDO

MWINYI AKIWEKA PETE KWA KIDOLE CHA WEMA
akiwa sambamba na Wema sepetu Mwinyi alisema kwamba ''huyu ndie mwanamke nileyetulia nae baada ya kuzunguka kote hapa ndio tulizo langu na atakua wangu wa maisha'' km ukikumbuka maneno haya yalisemwa na Naseeb Abdul (Diamond Platinumz ) wakati alipo mvisha pete mwanadada huyu mwishoni mwa mwaka 2011.


MMMMMHHHH WAT ALOVELY
 Mwimbaji Mwinyi aliigiza km diamond ktk filamu hiyo na ndio maana event imefanyika ktk ukumbi ule ule ambao diamond alifanya tukio hilo ,ila kwa watumbuizaji walikua machozi band,
Wema mwenyewe anasema movie hii itamgarimu zaidi ya shilingi za kitanzania Milioni 30 hadi kuikamilisha..
movie hii imesheheni masuperstaa kibao wa bongo so mdau stay tuned kununua movie ya mwanadafada Wema wa Sepetu ...
 
WALIOKUWEPO KUSHUHUDIA

WISH YOU ALL THE BEST WEMA SEPETU ,WADAU STAY TUNED KWA FILAM YA SUPERSTAR ITAKAYOSHEHENI MASUPERSTAA KIBAOO.

1 comment: