Thursday 24 May 2012

MBONIE MASIMBA AZINDUA MBONI TALK SHOW ON EATV

AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

MSIMMIZI WA KIPINDI GEORGE,MBONI, NA MENEJA WA VIPINDI EATV

MBONI MASIMBA

Mdada wa ukwee Mboni Msimba azindua MBONI TALK SHOW itakayooneshwa kupitia CHANNEL 5 (EATV)
kipindi kitajadili na kutimiza ndoto za vijana wa Tanzania.
Akizungumza mbele ya waandishi wa Habari katika ukumbi wa Hoteli Serena jijini Kipindi chake kitakuwa na dhamira kuu 5 ambazo ni Kuburudisha, kuelimisha, Kuonya, Kuadibu na Kuelekeza.
Mboni alisema kipindi chake kitakuwa na awamu tatu ambazo ni pamoj na ufunguzi wa kipindi, maswali kutoka kwa mtangazaji kwenda kwa wageni waalikwa, Maswali kutoka kwa hadhira kwenda kwa wageni, my dreams come true na tamati.

itaanza rasmi 31 mwezi huu wa 5 kuanzia sa 3usiku hadi saa 4 usiku na itakua inarushwa kila alhamis mda huo.
STAY TUNED.............
CONGRATULATIONS TO MBONIE WE ARE EXPECTING GOOD THINGS FROM U..

1 comment: