Saturday 19 May 2012

R. I. P KIUNGO WA SIMBA PATRICK MAFISANGO

1980-03-09 (32 years) to 17-05-2012



Mafisango alizaliwa Machi 30, 1980 huko Kinshasa Zaire wakati huo na ameacha mke na mtoto mmoja wa kiume, Chris Paul, mwenye umri wa miaka mitano.
 Mafisango ameichezea Simba kwa msimu mmoja tu akitokea Azam ya Dar es Salaam lakini kabla ya hapo alichezea pia TP Mazembe ya DRC, APR ya Rwanda na pia aliwahi kuwa nahodha wa Amavubi kwa takribani miaka mitano.
 Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, Makamu wake, Geofrey Nyange Kaburu na wajumbe wa kamati ya watendaji wameeleza kusikitishwa kwao na msiba huu mkubwa .

MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA KIUNGO WETU PATRICK MAISANGO AAMIN

No comments:

Post a Comment