Wednesday 5 November 2014

BEYONCE: MWANAMUZIKI ANAYELIPWA PESA NYINGI 2014- $115MLN

akiwa katika moja ya show zake akiperform

Beyonce knowles amethibitika kuwa mwanamuziki anayelipwa pesa nyingi sana cha dola milion 115 kwa kipindi cha mwaka 2014 , ambapo imekadiriwa kuwa mara mbili ya malipo aliyoyapata mwaka jana kwa mujibu wa Forbes Magazine la jumanne.
kiasi chake cha fedha sana kimetokana na tour yake ya kuzunguka dunia ambacho kimemfanya awe juu kifedha.
beyonce amecheza show 95 ambazo zimemuingizia average ya dola milion 2.4 kwa kila show.
wanamuziki wengine wanaomfatia nyuma ni Rihana kwa $48milion, Katy Perry (30) kwa $40mln, ambao waliingia kwenye top 5.
mwanamama mkongwe wa muziki madona (56) ambaye alishika no 1 mwaka jana ameshindwa kabisa kuingia katika top 10 mwaka 2014.
wakati huo Lady Gaga ambaye alishika nafasi ya 2 mwaka jana, ameshika nafasi ya 19 mwaka huu 2014 kwa kasirio ya mapato ya $33milion.

a kiss from husband baada ya show..


haya na wasanii wetu wabongo tujitahidi kupenda kazi zetu na kuiheshimu ili iwape mafanikio..

No comments:

Post a Comment