Sunday 9 November 2014

WEMA NA PENNY WAMALIZA TOFAUTI ZAO..



Baada ya bif la mda mrefu kati ya Wema na Penny wameamua kumaliza tofauti zao na kuanza upya kama marafiki wa kawaida..
tukio hili limefanywa na Dada Junaitha katika sherehe ya siku ya kuzaliwa na kuwakutanisha hawa mahasimu wawili n hatimaye kumaliza tofauti zao..
ni habari njema kabisa ns dada junaither Mungu atakulipa kwa hili na mengineyo..
wema na penny peace and love...

No comments:

Post a Comment