Tuesday 4 November 2014

WEMA SEPETU ATOA TAMKO KUHUSU KUZAA




Madam Wema Sepetu, awaambia rasmi wale wote wanao mzungumzia yeye kuhusu kuzaa,

Superstar Wema avunja ukimya huu baada ya kuandika kwenye page yake ya Instagram kwamba hayuko tayari kuzaa na kumuweka mbwa ambaye anasema kwake ni mtoto na anampenda.

Na maneno hayo ameyaelezea kupitia picha hii hapo chini...

Okay ... lets get things straight here... See dat doggie up there..y'all see her ...? Dat is my bebi... since i dont have a bebi.. Huyo ndo mtoto wng.. Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta... Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai... Akha...!! Zaa zaa... If u have a child im happy for u... Nd wish u da best... I dont.. Ndo Mungu alivyionipangia... So please hey... Watakaozaa all da best... walio na mipango ya kuzaa hongereni... Mimi sina... Im done... Vanilla ndo bebi wangu Kipenzi na nampenda kulioko... Na wale wa Subhannah llah pia nisiwaone... This is getting too personal sasa...

kwa hiyo walimwengu mkomw kumuandama mwana wa mwenzenu ,kuzaa mipango na majaaliwa pia...


No comments:

Post a Comment