Thursday 27 November 2014

YA WALIMWENGU: MCHEPUKO WA MH WAIBA TAA HOTEL


Ya Walimwengu, Huko Dodoma:

Mdada mmoja ambaye alikuwa nyumba ndogo ya mheshimiwa fulani kutoka bungeni dodoma,aiba taa ya mezani katika hotel iliyotambulika kwa jina la Royal V. Hotel.

mhudumu wa hotel hiyo akihadithia

''kaletwa hotelin bila aibu kaiba taa muda wa kuondoka.
mungu si athumani mbuge kachelewa kuja kumchukua mchepuko wake mara mdada wa usafi anaingia room anakuta taa ya kitandani haipo.anaenda recpt akaambiwa tena mwizi hajaondoka kaite polisi wanakuja kumsachi kaichimbia chini ya bag .Mara mheshimiwa anamfata anakutana na polisi acha ajifiche ''
aibu Dada smart kaumbuka.
mchepuko mwizi huyoo kabla ya kusachiwa na kukutwa na taa ya mezani ya hotel hiyo

mrembo mwizi ukisachiwa kwa kutoa nguo moja moja
najua wapo warembo wengi ambao wamezoea udokozi wa aina hii especially kwa mahotelini na pia kwenye baa jamani hii ni aibu siku zote za mwizi arubaini (40) hii ni kweli kabisaa..
jihadharini warembo.

No comments:

Post a Comment