Monday 10 November 2014

DR. MYLES MUNROE PAMOJA NA MKEWE NA BINTI WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA NDEGE

Wakati watanzania tukiomboleza kifo cha mwanamuziki wa bendi maarafu , Amigo..

Mwaandishi na mwanaharakati maarufu duniani Dr. MYLES MUNROE (60) apata ajali akiwa kwenye private jet yake ambapo iliku na watu 8 miongoni mwao ni Dr. Myles mwenyewe, Mkwe pamoja na Binti yao Charisa, ajali hiyo imetokea wakati ikiwa njiani kuelekea Grand Bahamas International ambapo alikua akienda Bahamas kwa ajili ya 2014 Global Leadership Forum ambayo ilikua ianze kufanyika leo 10.11.2014 mjini Bahamas.
Dr. Munroe akiwa na Binti yake Charisa pamoja na Mkewe enzi za uhai wao.
aklikuwa muandishi maarufu sana duniani na pia kuelimisha watu kuhusiana na leadership, na inspirational forums.
Dr. Munroe alikua Senior Pastor wa Bahama Faith Ministry wakati mkewe alikua Co- Senior Pastor.
Dr. Munroe ameacha mtoto mmoja wa kiume Chairo Myles.
Dr. Munroe alizaliwa April, 20-1954 mjini Nasahau, Bahamas
na amefariki  November 09,-2014 mjini Grand Bahamas, Bahamas
May His Soul Rest in Eternal Peace


No comments:

Post a Comment