Wednesday 12 November 2014

CONTOUR AND HIGHLIGHT TUTORIAL..

Haya warembo wa kijiwe hiki.



Bado tuendelee kupata tutorial mbali mbali ya jinsi ya kufanya contour and highlighting your face.

mwanamke kung'ara na maana halisi ya kuwapa hili somo online ili na nyie mpate kujua jinsi ya why wenzetu sura zao zinabadilika tym after tym hii ndio siri yao.







Vifaa vya hii contour na highlighting vinapatikana kwa Kithuraah Collection

yaani ni hivii



  1. Foundations (dark and light one )
  2. Brushes
  3. Powder.
  4. Lipstics
  5. Lipliners
  6. Eyeliners
  7. EyeShadows
  8. Contour Set
Zinapatikana kwa kithuraahCollections.
Simu au Whatsapp kwa no 0716 666640.
karibuni.

No comments:

Post a Comment