Wednesday 19 November 2014

HAPPY BELATED BIRTHDAY MY SHOST FETTY #MAMA RIYAN


Birthday Girl


Birthday Girl n Baby Riyan

Sisi apo kithuraah, da Easter, Ney washo na Fetty mwenyewe bila kumsahau Baby Riyan


Mama mlezi, mama mzazi na Baby Riyan

jigonjwa hilo toka kwa dada ake Mboni Masimba.

Nakutakia kila la kheri shoga angu katika maisha yako , Mmungu azidi kukufanikishia kila lililojema na akuepushe na kila lililobaya kwako. akupe afya njema wewe pamoja na mama yetu na mwanetu Riyan..
Happy Belated Birthday My Fetty

No comments:

Post a Comment